JITIHADA ZA KUINUA KIWANGO CHA UFAULU MANISPAA YA KINONDONI CHINI YA KOCHA MKUU D.E.O WETU NDUGU Rogers J Shemwelekwa
KING'ONGO SEKONDARI
+ Wiki ya kwanza tuliagiza past papers miaka kumi nyuma kwa kidato cha pili na nne, asilimia 70 kufikia Jana wameweza kutafuta licha kuwepo changamoto ya pesa kwa ajili ya copy na watoto kupuuzia.
+ Wiki hiyohiyo tulifanya masahihisho ya mtihani wa pre National kidato cha nne na tuliwapa muda wa siku mbili waujadili mtihani kwenye magroup ya wanafunzi sita.
+ Tumetengeneza ratiba Mpya ambayo inazingatia masaa mawili kwa kila somo, ambapo katika masaa mawili watoto wanakaa katika magroups wanadiscuss na kupresent mbele ya darasa.
+ Ratiba ya jioni saa 9-11 wanabaki wanafunzi na walimu ambapo watoto wanafanya mijadala na luwasilisha darasani au Mwalimu anawafundisha vipengele ambavyo vilikuwa vigumu katika mijadala yao darasani.
+ Kwa kidato cha pili Mwalimu aliyekuwa mazoezi alialikwa kuwafundisha sub topics ya British Occupation at the cape na Boer Trek.
+ Tumefatilia watoro wote na kuita wazazi na tumewasainisha fomu za viapo kwa alama anazoahidi kupata.
+ Tumeunda kikosi Kasi cha walimu watano wa masomo mbalimbali (Task Force) kwa ajili ya kufatilia yafuatayo:-
- Wanafunzi kuwahi darasani na je wapo darasani
- Nidhamu ya wanafunzi kwa vidato vya mtihani
- Kuhakikisha kazi wanafunzi wanazopewa na walimu wanazifanya na kuzipresent
- Kukaa na kuwashauri watoto ambao wanaonesha kabisa wanasuasua.
NB. Mkuu wa shule amejitolea kumpatia chakula cha mchana kila Mwalimu anayebaki jioni na tunabaki kulingana na ratiba ya somo lako.
+ Wiki kesho tunatarajia kufanya mtihani siku ya J3 na Jmos.
+ Kesho tunakikao na wazazi wa madarasa ya mitihani angalau tuwashirikishe ratiba yetu, maana wapo wazazi wanaotupigia simu wakiulizia kama kuna mabadiliko ya ratiba kutokana na watoto baadhi kufika nyumbani saa 11:30 au 12 badala ya ule waliouzoea, hata hivyo zipo ajenda nyingine.
+ Jana matokeo ya Mock yametoka na tunazo ziro 30 kwa kidato cha NNE. Hivyo katika somo la historia tuna
A- 0
B- 4
C- 39
D- 58
F- 58
ABS- 1
Sbj GPA 4.1
Tumeweka mikakati kuwa kwa wale waliopata F na D tutakaa nao na mwanzoni mwa OCT tutawapa mtihani kama pre national. Lkn pia kila baada ya siku mbili tutawapa mazoezi ya kutosha au tunashomoa swali moja tunawapa kwa makundi au nyumbani na analeta kwa mwlimu husika anamuelekeza.
👉🏽Mikakati ni mingi sana na kwakweli kama walimu tungekuwa tunafanya hivi kwa miaka ya nyuma hakika watanzania tungekuwa pazuri kielimu. Walimu tujitolee na tuboreshe Elimu ya wilaya yetu Kinondoni.
Mungu abariki walimu wote wa Kinondoni, Mungu abariki Afsa Elimu Kinondoni, Mungu aibariki Tanzania.
Na, Ikwataki Audax
King'ongo sekondari
S. L. P 53714
DAR ES SALAAM.
0765-090379
audaxmuga@yahoo.com
[16/09/2016 12:39] 🇹🇿 MwL~ Japhet Moshi 🇹🇿: Hongereni KINGONGO kazi nzuri, itekelezeni hii mikakati ni mizuri mno.
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
[16/09/2016 12:50] Mama Kirigiti Voda:
Niwatie moyo walimu wetu kwa maamuzi mlochukua ya kujitolea. Kufanya kazi bila kusukumwa hakika kuna badiliko kubwa sana la ufundishaji ktk shule zetu ukilinganisha na miaka ya nyuma tuendelee kuweka mkazo kwa vidato vya 1.na11 ufaulu utabadilika ktk Manispaa yetu yaani utakuwa juu Mungu atuwezeshe na tumuunge mkono Afisa Elimu wetu kwa maono aliyoyapata Big up Kinondoni

No comments:
Post a Comment