KIDATO CHA PILI 2016
MABIBO SEKONDARI
✨Kwa niaba ya wanaFikra Kubwa wote tunapenda kutoa pongezi zetu za dhati kwa shule zetu zote ambazo zimejitahidi kiwilaya mtihani wa Mock na kuonesha njia kuwa kufaulu kunawezekana, HONGERENI MNO KWA KAZI MNAYOIFANYA. Sote hatuna budi kuiga ili matokeo ya NECTA yalete shangwe wilaya nzima na taifa zima✨
⏺
Tunashukuru Mungu leo tumeweza kihitimisha solving kwa somo la biology
ambalo tumefanya kwa cku mbili kama tulivyojipangia na kama ratiba
inavyoonesha, kesho tutakuwa na somo la hisabati kwa kutambua umuhimu
was somo lenyewe kuwa ndilo litakalomfanya mtoto wako afikie ndoto yake.
Mzazi au mlezi hakikisha anajiandaa vizuri ili aweze kuja kuonyesha
ushiriki mzuri hapo kesho.
👉🏾 Sambamba na hilo mlezi wetu Mwl Japhet E. Moshi imekuwa vigumu kusahau kazi yake ya malezi kwa wanafikra kubwa na leo amekuwa nasi kwa cku nzima tangu morning prepo hadi evening prepo na kufanya solving na wanafikra kubwa leo. Asante sana Mkuu endelea kubarikiwa na Kuwa na Moyo huo kwani kiukweli wanafunzi wamefurahi na kurudisha tabasamu lao la awali.
Mwl Cleopa E. SOI akizungumza na wanafikra Kubwa katika kuwajengea uwezo wa kujiamini na kusoma kwa bidii ili waweze kufaulu katika masomo yao.
*```Ingia facebook like page yetu inaitwa Fikra Kubwa Group ```*
```Search'''
https://www.facebook.com/groups/1730512107203946/
Tembelea blogu yetu
�
http://fikrakubwa.blogspot.com/
Imeandaliwa na
MwL Rachel Kishishi na
MwL Japhet E Moshi
Nakala kwa
Mwl Cleopa E. Soi na walezi wote waione.

No comments:
Post a Comment