Sunday, 18 September 2016

TAARIFA KWA WAZAZI NA WALEZI FIKRA KUBWA GROUP

FIKRA KUBWA GROUP (23)
KIDATO CHA PILI 2016
MABIBO SEKONDARI

VISION: Tanzania One
MISSION: Academic Guidance
Motto: I am Tanzania one as Great Thinkers.



Ndugu mzazi/mlezi wa wanaFikra Kubwa Group shalom
Katika kuendelea kutekeleza mpango wa Sept~Nov Morning prepo zinaendelea kama kawaida kuanzia saa 12:00 asubuhi. Hivyo msihi mwanao awahi mapema ili tuanze kwa pamoja.

👉 Solving kwa njia ya kupresent maswali matatu ya past papers za NECTA kesho inaendelea, msimamie ajiandae kwa maswali aliyopewa ili asubuhi aje ayawasilishe majibu yake mbele ya wanafunzi wenzake.

👉 Jumamosi watafanya mtihani wa BIOLOGY ambapo watafanya Past paper moja wapo kati ya zile kumi walizonazo ili kuwapima kama wanauwezo wa kuelewa maswali, na kuyajibu kwa muda na kutoa majibu sahihi? Hivyo msimamie asome kwa bidii kwani siku za mtihani zimekaribia sana.





Leo tumeweka mkakati wa kumaliza mapaper kwa muda mfupi kwa kugawana maswali ya kila paper ili kila mmoja aweze kushiriki kikamilifu kila somo tumepanga liwezwe kusomwa cku mbili ili kumuenzi Mwl wetu Japhet tumeamua kuanza na somo lake ambalo tutalisoma kesho na kesho kutwa. Mzazi au mlezi hakikisha mtoto wako anazingatia ratiba na pia endelea kumkumbusha kuwahi kwa ajili ya masomo ya asubuhi.

Natumai mtaendeleza ushirikiano mzuri kwangu. MUNGU AWABARIKI

Imeandaliwa na:

MwL Rachel Kishishi
Mlezi Fikra Kubwa Group Kwa sasa.
Nakala kwa
MwL Japhet E Moshi na walezi wote waione.

 MWL R. KISHISHI AKIWA NA WANAFIKRA KUBWA GROUP KAMA MLEZI WAO.
 MWL JAPHET E MOSHI NA MWL R. KISHISHI KWA PAMOJA NA WANAFIKRA KUBWA GROUP




High School and Secondary school Debate Topics

High School and Secondary school Debate Topics

  1. All students should have an after school job.
  2. Partial birth abortion should be illegal.
  3. Every student should be required to take a performing arts course.
  4. Homework should be banned. 
  5. School uniforms should be required.
  6. Year round education is not a good idea for student learning.
  7. The legal drinking age should be lowered to 18.
  8. PE should be required of all students throughout high school.
  9. All students should be required to perform one year of community service.
  10. Schools should block Youtube.
  11. Students should be able to leave school for lunch.
  12. All parents should be required to attend parenting classes before having a child.
  13. Single-sex schools are better for students.
  14. Students should be held legally responsible for bullying in schools.
  15. Cyberbullying that occurs outside of school, should be punished by the school.
  16. Teachers should not be allowed to contact students through social media.
  17. It is never appropriate for the government to restrict freedom of speech.
  18.  Human cloning should be banned.
  19. Poetry should be removed from the curriculum.
  20. Macs are better than PCs.
  21. Androids are better than iPhones.
  22. The US Government should fund a space mission to Mars.
  23. Mixed Martial Arts (MMA) should be banned.
  24. Democracy is the best form of government.
  25. All citizens who do not vote should pay a fine.
  26. The death penalty should be abolished.
  27. Sports stars should be positive role models.
  28. The right to bear arms is a necessary constitutional amendment.
  29. Grades should be abolished.
  30. Progressive tax rates are unfair.
  31. The voting age should be lowered.
  32. The driving age should be raised.
  33. Sharing music online should be allowed.
  34. Video games are too violent.
  35. History is an important subject in school.
  36. Schools should not be allowed to track students.
  37. Students should be required to pass algebra to graduate.
  38. Affirmative action should be abolished.
  39. Students should not be graded on their handwriting.
  40. Women should not get the right to vote. (Note: This provides students with historical context for the 19th amendment.)
  41. America should not give foreign aid to other countries.
  42. The government should provide wireless service for everyone.
  43. Smoking should be illegal.
  44. People should be fined for not recycling.
  45. Performance enhancing drugs should be allowed in sports.
  46. Parents should be allowed to choose their baby's gender.
  47. Animal testing should be banned.
  48. Corporations should be allowed to donate money to political campaigns.
  49. Drone attacks against specific targets are a necessary part of modern warfare.
  50. US representatives and senators should have term limits.
  51. All students should take an online course.
  52. Social media comments should be protected by free speech.
  53. A border fence should be constructed between US and Mexico.
  54. Same sex marriage should be legal.
  55. Intelligent design should be taught in science classes.
  56.  
  57. Are social networking sites effective, or are they just a sophisticated means for stalking people?
  58. Is torture justified when used for national security?
  59. Should cell phones be banned in schools?
  60. Is peer pressure harmful or beneficial to individuals?
  61. Should violent video games be banned?
  62. Should the death penalty be taken away completely?
  63. Are beauty pageants a way to objectifying women?
  64. Should cigarettes be banned from society?
  65. Is it unethical to eat meat?
  66. Should homework be banned?
  67. Can people move in together before they are married?
  68. Do celebrities make for bad role models?
  69. Are credit cards are more harmful than debit cards?
  70. Should the concept of zoos should be nullified?
  71. Should fried foods come with a warning?
  72. Should sex education be banned in middle schools?
  73. All schools should make it a requirement to teach arts and music to their students?
  74. Should juveniles be tried and treated as adults?
  75. Is human cloning justified, and should it be allowed?
  76. Has nuclear energy destroyed our society?
  77. Should parents not purchase war or destruction type toys for their children?
  78. Should animal dissections be banned in schools?
  79. Should plastic bags be banned?
  80. Are humans too dependent on computers?
  81. Are security cameras an invasion of our privacy?
  82. Should gay marriages be legalized?
  83. Is co-education a good idea?
  84. Does money motivates people more than any other factor in the workplace?
  85. Is it ethical for companies to market their products to children?
  86. Is age an important factor in relationships?
  87. Should school attendance be made voluntary in high school?
  88. Is the boarding school system beneficial to children?
  89. Are curfews effective in terms of keeping teens out of trouble?
  90. Should libraries have a list of books that are banned?
  91. Will posting students’ grades on bulletin boards publicly motivate them to perform better or is it humiliating?
  92. Do school uniforms help to improve the learning environment?
  93. How far is competition necessary in regards to the learning process?
  94. Can bullying in schools be stopped? How so?
  95. Is it important for all schools to conduct mandatory drug testing on their students?
  96.  
  97. Is animal testing a justified?
  98. Is the death penalty appropriate?  Or should it be banned?
  99. Should cell phones be used during class?
  100. Should laptops be allowed in classrooms?
  101. Is global warming an issue?
  102. Is there good reason for the American war on terror?
  103. Does school detention do any good in high schools?
  104. What impact does social networking and social networking sites have on society?
  105. Is euthanasia justified?
  106. Are video games containing violence appropriate for children?
  107. Are single sex schools more effective than co-ed schools?
  108. Is television an effective tool in building the minds of children?
  109. Should jobs be subcontracted into developing countries?
  110. Is cloning animals ethical?
  111. Is the grading system used in secondary school effective?
  112. Do celebrities get away with more crime than non-celebrities?
  113. Is it justified to develop nuclear energy for commercial use?
  114. Is it effective to censor parts of the media?
  115. Are humans to blame for certain animal extinctions?
  116. Are alternative energy sources effective and justified?
  117. Do school uniforms make school a more effective place to learn?
  118. Is drug testing athletes justified?
  119. Is it appropriate for adolescents to be sentenced to life without parole?
  120. Should high schools provide daycare services for students who have children?
  121.  
  122. Who is more complicated gender: men or women?
  123. Should humans eat to live or live to eat?
  124. Do video games cause bad behavior in children?
  125. Should older women be allowed to marry younger men?
  126. Is it better to be honest and poor or dishonest and rich?
  127. Do nice girls finish last?
  128. Do nursery rhymes have secret interior meanings?
  129. What are the advantages of being a man over a woman?
  130. Which of these two are more real – pirates or ninjas?
  131. Do vampires get AIDS from sucking blood that is affected?
  132. Which is better: daydreaming or night dreaming?
  133. Do you think the United States will never have a woman President?
  134. Did God create the universe or did it just occur naturally?
  135. Do we have less face-to-face interaction because of Facebook?
  136. Is there life after death?
  137. Are we aliens of some sort?
  138. What are the best dating techniques out there?
  139. What are the advantages of bottled water vs. regular water?
  140. Which is a better show: Vampire Diaries or FRIENDS?
  141. What is the best pizza topping?
  142. Are Batman and Superman misleading idols?
  143. Which is better: Rock n Roll music or Hip Hop?
  144. Which is better: Harry Potter or Twilight?
  145. Which is the best season of the year?
  146. Is it better to date someone attractive and popular or intelligent and smart?
  147. Which is better to have as a pet: a cat or a dog?
  148. Money is better than Education
  149. Single sex schools are MORE Effective than co-ed schools
  150.  Girls themselves are the source of their own early Pregnancy.
                                                                I LOVE DEBATING

MwL CLEOPA E. SOI Mlezi NDOTO KUBWA GROUP ATEMBELEA WANAFIKRA KUBWA GROUP.

Mwl Cleopa E. SOI ni mwalimu wa shule ya Sekondari Gogoni, Manispaa ya Kinondoni, pia ni mwalimu mlezi wa Kundi la wanafunzi 32 lijulikanalo kwa jina la NDOTO KUBWAGROUP kidato cha nne pale GOGONI SEKONDARI.  ni kundi lenye wanafunzi wenye ndoto kubwa za kuja kumiliki na kutawala kupitia elimu.

Mwl SOI amewatembelea FIKRA KUBWA GROUP wa MABIBO SEKONDARI ambao ni wanafunzi 23 wenye malengo ya kuwa adaktari, wahandisi, wanasheria na walimu na kuzungumza nao juu ya thamani ya Elimu ili waweze kusoma na kuipenda shule kuliko pesa.
wanafikra Kubwa wamefurahi sana na kuahidi kusoma kwa bidii ili waweze kufaulu kama walivyoelekezwa na Mwl SOI.

 Mwl Cleopa E. Soi AKIZUNGUMZA na WANAFIKRA KUBWA GROUP wa MABIBO SEKONDARI siku alipowatembelea.




HONGERA KWA SHULE ZILIZOFANYA VIZURI MOCK WILAYA YA KINONDONI

FIKRA KUBWA GROUP (23)
KIDATO CHA PILI 2016
MABIBO SEKONDARI


Kwa niaba ya wanaFikra Kubwa wote tunapenda kutoa pongezi zetu za dhati kwa shule zetu zote ambazo zimejitahidi kiwilaya mtihani wa Mock na kuonesha njia kuwa kufaulu kunawezekana, HONGERENI MNO KWA KAZI MNAYOIFANYA. Sote hatuna budi kuiga ili matokeo ya NECTA yalete shangwe wilaya nzima na taifa zima

Tunashukuru Mungu leo tumeweza kihitimisha solving kwa somo la biology ambalo tumefanya kwa cku mbili kama tulivyojipangia na kama ratiba inavyoonesha, kesho tutakuwa na somo la hisabati kwa kutambua umuhimu was somo lenyewe kuwa ndilo litakalomfanya mtoto wako afikie ndoto yake. Mzazi au mlezi hakikisha anajiandaa vizuri ili aweze kuja kuonyesha ushiriki mzuri hapo kesho.

👉🏾 Sambamba na hilo mlezi wetu Mwl Japhet E. Moshi imekuwa vigumu kusahau kazi yake ya malezi kwa wanafikra kubwa na leo amekuwa nasi kwa cku nzima tangu morning prepo hadi evening prepo na kufanya solving na wanafikra kubwa leo. Asante sana Mkuu endelea kubarikiwa na Kuwa na Moyo huo kwani kiukweli wanafunzi wamefurahi na kurudisha tabasamu lao la awali.






 Mwl Cleopa E. SOI akizungumza na wanafikra Kubwa katika kuwajengea uwezo wa kujiamini na kusoma kwa bidii ili waweze kufaulu katika masomo yao.





*```Ingia facebook like page yetu inaitwa Fikra Kubwa Group ```*
```Search'''
https://www.facebook.com/groups/1730512107203946/
Tembelea blogu yetu

http://fikrakubwa.blogspot.com/
Imeandaliwa na
MwL Rachel Kishishi na
MwL Japhet E Moshi
Nakala kwa
Mwl Cleopa E. Soi na walezi wote waione.

THE VISIT OF KINONDONI D.E.O AT KONDO SECONDARY SCHOOL

 16.09.2016

The D.E.O KINONDONI MUNICIPAL COUNCIL Mr Rogers J. Shemwelekwa visited today Kondo Sec to inaugrate the modern lavatory built by our neighboring secondary school Feza boys for teachers.
Now, we can host seminars and study.




PONGEZI KWA AFISA ELIMU WA WILAYA YA KINONDONI KWA JITIHADA ZA KUINUA KIWANGO CHA UFAULU

 
#PONGEZI_KWA_AFISA_ELIMU_WILAYA_YA_KINONDONI Ndugu Rogers J Shemwelekwa

HIZI NI PONGEZI KWA D.E.O (MANISPAA YA KINONDONI) NDUGU ROGERS SHEMWELEKWA NA WAALIMU KWA UJUMLA.

Nichukue nafasi hii kumshukuru sana Afsa Elimu sekondar manispa ya Kinondoni Ndugu Rogers Shemwelekwa Kwa jitihada anazo zichukua ndani ya manispaa yake kuhakikisha kuna kuwa na mwamko mkubwa wa MATOKEO, na kuongeza kiwango cha UFAULU wa kutosha katika shule zote za sekondari manispaa ya kinondon nakuwa mfano wa kuigwa nchin, hongera sana kwa zitiada zake izo zinaoneka na kila mtu anatambua ilo na matunda sasa yata anza kuonekana na mungu ambariki sana Kwa ilo Afisa Elimu wilaya ya Kinondoni.
Pia niwapongeze waalimu wote na wazazi ambao wapo bega Kwa bega kuhakikisha wanawasimamia vizur wanafunz katika nyanza zote
KIELIMU
NIDHAMU
MAADILI BORA

na kuwa jenga katika misingi ya hofu ya mungu,ndio misingi bora ya kumjenga mwanafunzi katika maswala mazima ya ufaulu japo zipo njia mbalimbali ambazo zitasaidia kuinua ufaulu wa mwanafunz aina budi kila mmoja wetu kuzitumia ili zitusaidie kufanya ufalu kuwa mkubwa kwenye taifa letu👏

Nizipongeze shule zote zilizoingia 10 bora hiyo yote inaonesha jitiada mlizo zifanya waalim na mikakat mingi sana kuhakikisha mnawasaidia mwanafunz kufanya vizur katika mitian yao na kuwajenga katika misingi bora ya uelewa na kujiamin,ukomavu,kujitambua,mungu awabarik sana Kwa ilo waalim wote.

Ni vishukuru vikundi vyote vya hamasa kama #NDOTO_KUBWA, #FIKRA_KUBWA, #THE_WINNERS_GROUP, #YES_I_CAN, #MAKONDA_THE_WINNERS #THE_WHITE_HORSE #BRIGHT_FUTURE N.K vinavyofanya harakat za elimu kuhakikisha vinamsaidia mwanafunzi katika masomo yake aweze kufanya vizuri muendelee kujitolea mungu yupo nanyi na awabariki sana
Tutambue Kwa pamoja kuwa "HESHIMA YAKO INAJENGWA NA KUWAJIBIKA KWAKO,USIVUNJIKE MOYO KILA WAJIBU NA CHANGAMOTO ZAKE" Tufanyen kaz Kwa pamoja kusaidia vizaz vya kesho vya taifa letu.

By
JUMANNE ABDUL
 Afisa Elimu wilaya ya Kinondoni ndugu Rogers J Shemwelekwa, kiongozi mwenye maono na uwezo adimu juu ya mustakabali wa Elimu yetu na wilaya yetu ya Kinondoni.



 wanafunzi katika vikundi vyao pamoja na walimu wao walezi kwa pamoja ni sehemu ya juhudi za Afisa Elimu wetu kuongeza kiwango cha ufaulu kupitia MALEZI kwa wanafunzi.

KING'ONG'O SEKONDARI NAO WAPAMBANA KUONGEZA KIWANGO CHA UFAULU KWA KUFUTA ''F''

JITIHADA ZA KUINUA KIWANGO CHA UFAULU MANISPAA YA KINONDONI CHINI YA KOCHA MKUU D.E.O WETU NDUGU Rogers J Shemwelekwa

KING'ONGO SEKONDARI
+ Wiki ya kwanza tuliagiza past papers miaka kumi nyuma kwa kidato cha pili na nne, asilimia 70 kufikia Jana wameweza kutafuta licha kuwepo changamoto ya pesa kwa ajili ya copy na watoto kupuuzia.
+ Wiki hiyohiyo tulifanya masahihisho ya mtihani wa pre National kidato cha nne na tuliwapa muda wa siku mbili waujadili mtihani kwenye magroup ya wanafunzi sita.
+ Tumetengeneza ratiba Mpya ambayo inazingatia masaa mawili kwa kila somo, ambapo katika masaa mawili watoto wanakaa katika magroups wanadiscuss na kupresent mbele ya darasa.
+ Ratiba ya jioni saa 9-11 wanabaki wanafunzi na walimu ambapo watoto wanafanya mijadala na luwasilisha darasani au Mwalimu anawafundisha vipengele ambavyo vilikuwa vigumu katika mijadala yao darasani.
+ Kwa kidato cha pili Mwalimu aliyekuwa mazoezi alialikwa kuwafundisha sub topics ya British Occupation at the cape na Boer Trek.
+ Tumefatilia watoro wote na kuita wazazi na tumewasainisha fomu za viapo kwa alama anazoahidi kupata.
+ Tumeunda kikosi Kasi cha walimu watano wa masomo mbalimbali (Task Force) kwa ajili ya kufatilia yafuatayo:-
- Wanafunzi kuwahi darasani na je wapo darasani
- Nidhamu ya wanafunzi kwa vidato vya mtihani
- Kuhakikisha kazi wanafunzi wanazopewa na walimu wanazifanya na kuzipresent
- Kukaa na kuwashauri watoto ambao wanaonesha kabisa wanasuasua.
NB. Mkuu wa shule amejitolea kumpatia chakula cha mchana kila Mwalimu anayebaki jioni na tunabaki kulingana na ratiba ya somo lako.
+ Wiki kesho tunatarajia kufanya mtihani siku ya J3 na Jmos.
+ Kesho tunakikao na wazazi wa madarasa ya mitihani angalau tuwashirikishe ratiba yetu, maana wapo wazazi wanaotupigia simu wakiulizia kama kuna mabadiliko ya ratiba kutokana na watoto baadhi kufika nyumbani saa 11:30 au 12 badala ya ule waliouzoea, hata hivyo zipo ajenda nyingine.
+ Jana matokeo ya Mock yametoka na tunazo ziro 30 kwa kidato cha NNE. Hivyo katika somo la historia tuna
A- 0
B- 4
C- 39
D- 58
F- 58
ABS- 1
Sbj GPA 4.1
Tumeweka mikakati kuwa kwa wale waliopata F na D tutakaa nao na mwanzoni mwa OCT tutawapa mtihani kama pre national. Lkn pia kila baada ya siku mbili tutawapa mazoezi ya kutosha au tunashomoa swali moja tunawapa kwa makundi au nyumbani na analeta kwa mwlimu husika anamuelekeza.
👉🏽Mikakati ni mingi sana na kwakweli kama walimu tungekuwa tunafanya hivi kwa miaka ya nyuma hakika watanzania tungekuwa pazuri kielimu. Walimu tujitolee na tuboreshe Elimu ya wilaya yetu Kinondoni.
Mungu abariki walimu wote wa Kinondoni, Mungu abariki Afsa Elimu Kinondoni, Mungu aibariki Tanzania.
Na, Ikwataki Audax
King'ongo sekondari
S. L. P 53714
DAR ES SALAAM.
0765-090379
audaxmuga@yahoo.com
[16/09/2016 12:39] 🇹🇿 MwL~ Japhet Moshi 🇹🇿: Hongereni KINGONGO kazi nzuri, itekelezeni hii mikakati ni mizuri mno.
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
[16/09/2016 12:50] Mama Kirigiti Voda:
Niwatie moyo walimu wetu kwa maamuzi mlochukua ya kujitolea. Kufanya kazi bila kusukumwa hakika kuna badiliko kubwa sana la ufundishaji ktk shule zetu ukilinganisha na miaka ya nyuma tuendelee kuweka mkazo kwa vidato vya 1.na11 ufaulu utabadilika ktk Manispaa yetu yaani utakuwa juu Mungu atuwezeshe na tumuunge mkono Afisa Elimu wetu kwa maono aliyoyapata Big up Kinondoni

Mwanafunzi mzuri Kitaaluma Hazuki tu, Bali huandaliwa.

Mwanafunzi mzuri Kitaaluma Hazuki tu, Bali huandaliwa.

Jana jumamosi tarehe 17/9/2016 wana #fikra_Kubwa_Group na #The_Winners_Group wakiendelea na mitihani yao ya kujiandaa na mtihani wa Taifa Kidato cha pili 2016.

 wanafikra Kubwa Group na The winners Group wakiendelea na mtihani wao wa kujiandaa na FSEE mwezi NOVEMBER 2016.
 Mtihani huu wa BIOLOGY KIDATO CHA PILI umetungwa na mimi mwalimu wao mlezi ili kuwaandaa wanafunzi hawa waweze kufaulu na kufikia malengo yao makubwa waliyonayo.





JITIHADA ZA KUONGEZA KIWANGO CHA UFAULU KIBWEHERI SEKONDARI

UTEKELEZAJI WA MIKAKATI YA D.E.O. MANISPAA YA KINONDONI NDUGU ROGERS SHEMWELEKWA ILI KUONGEZA KIWANGO CHA UFAULU.

DEO wetu wa Manispaa ya Kinondoni alituagiza tuweke mikakati ya kuwasaidia Watoto wetu wenye HATI MBAYA.
DEO alisema tutafute wataalamu wa MWANDIKO toka shule za msingi zilizotuzunguka ili kukomesha tatizo hili linachangia Ushukaji wa Taalamu Tanzania.
KIBWEHERI SEKONDARI;
Tumeanza kutekeleza agizo hilo wiki iliyopita kwa kuanzisha mpango maalumu wa kukomesha tatizo hilo.
Zoezi hilo tumeligawa katika awamu kuu tatu.
Awamu ya kwanza tumeanza na kidato cha kwanza.
Kisha madarasa mengine yatafuata.
Tumeanza na darasa moja kwa lengo la kupima kuna changamoto zipi zinajitokeza wakati wa utekelezaji wa mkakati.
Tukizibaini tutaboresha na kuendesha zoezi hilo kwa madarasa yote.
----------------------------------
WAKATI WA UTEKELEZAJI WA MKAKATI HUU TUTAPITIA HATUA ZIFUATAZO;
1.Kuandaa vifaa,
km vile; vitabu maalumu vya JIFUNZE KUANDIKA cha darasa la kwanza.Sisi tumeanza na kimoja ambacho tumeazima Shule ya msingi Kibwegere.
Wanafunzi wameandaa; daftari maalumu la kujifunzia kuandika, penseli na kifutio n.k.
2. Kuwaandaa wanafunzi kisaikrojia.
Kabla mpango hatujaanza tulifanya yafuatao;
°°Kuzungumza na wanafunzi na kuwajuza sababu za kufeli kwao ni pamoja na HATI MBAYA.
°° Kisha wanafunzi wenyewe wakubali kuwa; wanatatizo hilo.
°°Wakishakubali, unawapa moyo kwa kuwaambia tatizo lao ni dogo saana, dawa yake ipo na watapona haraka tu.
°°Pia kuwajuza madhara ya hati mbaya na faida za hati safi. Mifano hai itumike.
°°Hapo watakuwa tayari kupata dawa ya tatizo lao bila tatizo.
3. KUANZA MAFUNZO;
Mafunzo haya yanahitaji umakini wa hali ya juu sana kwani ndio msingi wa elimu.
Sisi tumejipanga kufuata mfululizo huu;
a).Kufundisha jinsi ya kuumba herufi za msingi yaani Irabu na konsonanti. Mfano; Kikanuni ''a'' inaandikwaje na inaonekaje ikiandikwa vizuri?
b). Kupitia Uandishi wa herufi kubwa na ndogo. Mfano; ''g'' kwa herufi kubwa inaandikwaje?
c).Kuwafundisha wanafunzi kanuni za kuunga neno moja nalingine. Mfano; ''l'' na ''a''zinaunganaje?
d).Baada ya hatua hizo tatu za juu wanatakiwa wafanye mazoezi ya kutosha ya kuumba herufi.
e). Kuwaandalia matini mbalimbali zilizoandikwa kwa mkono, kisha kuwapatia wazinguchuzunge na kujifunza zaidi.
f). Kuwafundisha wanafunzi matumizi ya Alama za Kiuandishi. Mfano; matumizi ya nukta, alama ya mshangao, mkato, aya, n.k. Hatua hii ni muhimu saana.
g). Mwisho tumejipanga Kuandaa SHINDANO LA UANDISHI WA INSHA.
Zawadi mbalimbale zitatolewa ili Kuwamotisha wanafunzi na kuleta ushindani na uelewa.
Wenafunzi wakishindanishwa watafanya mazoezi mengi saana.
MASHINDANO HAYA YATAKUWA YA KUDUMU.
NB; Mkakati huo kwa sasa umeanza kuwezeshwa na Mwalimu Mzoefu na Mahiri wa somo la Kiswahili Tanzania, HAMISI AIBU.
Pia tunamshukuru saana DEO KINONDONI kwa Ufunifu wake na Kasi yake ya kufanya kazi.
MUNGU AMZIDISHIE AFYA NJEMA.
--------------------------
Wadau wa Elimu tafadhali naomba MAONI YENU. Wapi paboreshwe ili Mpango wetu uwe safi.
------------------
Imeandaliwa na;
IDARA YA KISWAHILI-KIBWEHERI SEKONDARI

Wednesday, 7 September 2016

MIKAKATI YA KUFAULU BAADA YA MOCK INAENDELEA



FIKRA KUBWA GROUP (23)
KIDATO CHA PILI – 2016
MABIBO SEKONDARI

Na Mwl Japhet E. Moshi

Ndugu mzazi/mlezi na wadau wote wa Fikra Kubwa Group salaam.

Leo wanafunzi wamemaliza mitihani yao ya Mock kidato cha pili, hivyo awamu ya kwanza ya maandalizi imeisha kwa maana ya Mock na sasa tunaelekea kwenye maandalizi makaubwa zaidi ya mtihani wa Taifa ambapo kuanzia kesho asubuhi mikakati yetu inaendelea kama ifuatavyo;

1.  Morning Prepo itaendelea kesho asubuhi kuanzia saa 12:00 mpaka saa moja na nusu, na Evening Prepo zitaendelea jioni kwa utaratibu wa awali mpaka saa 11:30 jioni. Hivyo kuanzia kesho atachelewa kurudi nyumbani na mimi nitakuwa nao muda wote shuleni jioni.

2.   Leo nimempa ratiba mpya ya kujisomea binafsi kuanzia kesho mpaka mwishoni mwa mwezi wa kumi na somo moja atalisoma kwa siku mbili kama ratiba yake inavyoonesha, Mzazi/mlezi msimamie mwanao na hakikisha ratiba inafuatwa vizuri nyumbani na mwanafunzi anasoma muda wote, kumbuka kupafanya nyumbani kuwe shule kwa ajili yake.


3.   Siku ya jumatatu jioni tutakuwa na DEBATE kati ya kundi la The Winners na Fikra Kubwa Motion inasem 

                        “Are single SEX Schools more EFFECTIVE Than Co-ed Schools?”  

      mwambie ajiandae vizuri kwa ajili ya motion hiyo ili aweze kuiwasilisha kwa wenzake wanaomtegemea ili kuleta ushindi kwa group letu.




4.   Jumamosi kutakuwa na mtihani wa somo la BIOLOGY msihi asilaze damu katika hili, mwisho wa mtihani mmoja ndio mwanzo wa mtihani mngine hivyo mtie moyo azidi kujituma kwa moyo wote katika masomo yake. Kila wakati mkumbushe azingatie Mbinu 30 za kusoma ili kufaulu.
Mtihani wa taifa haupo mbali hivyo jitihada za usimamizi zinahitajika ili mwanao aweze kufaulu kwa kiwango tunachokitaka, Kumbuka mwanafunzi mzuri hazuki, bali huandaliwa.



Imeandaliwa na:
Mwl Japhet E. Moshi
MLEZI FIKRA KUBWA GROUP

Tembelea blogu yetu
http://fikrakubwa.blogspot.com/

Na Ukurasa wetu Facebook
KUJIFUNZA ZAIDI

BIOLOGY EXAMINATION RUBRIC



BIOLOGY EXAMINATION RUBRIC AND TABLE OF SPECIFICATION

The examination will consist of two papers. Paper I will be a theory paper and paper 2 a practical paper.

033/1 BIOLOGY 1
The theory paper will be of 3 hours duration. It will comprise 13 questions in Sections A, B and C.

Candidates will be required to answer all the questions in sections A, and B; and one question from section C. The paper will weigh 100 marks.

Section A
Will consist of two questions each of which will weigh 10 marks.

Section B
Will consist of eight (8) structured short answer questions, each of which will be divided into two parts. This section will weigh a total of 60 marks, and the mark allocation for individual questions will be indicated at the end of each question.

Section C
Will comprise three (3) long answer /essay questions. Candidates will be required to answer only one (1) question. The answer for this question will have to be comprehensive, having as many points as possible . This question will weigh 20 marks.




BIOLOGY TABLE OF SPECIFICATIONS
033/1 BIOLOGY
S/n
Topic
Total number of questions per Topic
Percentage weighting per Topic
1
Introduction to Biology
2
5.1
2
Safety in our environment
3
7.7
3
Health and prevention of diseases
3
7.7
4
Cell structure and organisation
1
2.6
5
Classification of living Things
4
10.3
6
Nutrition
3
7.7
7
Balance of Nature
2
5.1
8
Transport of materials in Living things
3
7.7
9
Gaseous exchange and respiration
2
5.1
10
Movement
1
2.6
11
Coordination
3
7.7
12
Excretion
1
2.6
13
Regulation
1
2.6
14
Reproduction
3
7.7
15
Growth
2
5.1
16
Genetics
3
7.7
17
Evolution
1
2.6
18
HIV/AIDS and STI’s
1
2.6
Number of questions
39

Percentage weighting per skill

100
Prepared by Mwl. Japhet E. MOSHI